Waziri Mkuu akutana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya ALSTOM
_▪️Yaonesha nia ya kushirikiana na Serikali katika usafiri ya Mijini.__▪️Dkt. Mwigulu awahakikishia mazingira bora ya uwekezaji_WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya ALSTOM...


