PSSSF yakumbusha waajiri kuwasilisha michango
Waajiri katika sekta ya umma wamekumbushwa kutekeleza wajibu wao wa kisheria wa kuwasilisha michango ya watumishi kwa wakati katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),...


