Ofisi ya Msajili wa Hazina yalenga kukusanya Sh2 trilioni mwaka 2026/27
Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) imejiwekea lengo la kukusanya Sh2 trilioni kama mapato yasiyo ya kodi katika mwaka huu wa fedha 2026/27, ikiwa ni zaidi ya lengo la...


