• July 13, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Arusha ambapo anatarajiwa kushiriki tukio la Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali utakaofanyika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Leo Julai 13, 2026.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *