Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba Kabudi, ameongoza viongozi mbalimbali katika ibada ya kumaliza msiba wa aliyewahi kuwa Waziri katika Ofisi hiyo, marehemu William Lukuvi.
Ibada hiyo ya Misa Takatifu imefanyika leo, Agosti 15, 2026, katika Kijiji cha Idodi, Kata ya Idodi, mkoani Iringa.




































































































































































































































































