• August 26, 2026
  • Mwandishi Wetu
  • 0

‎Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi, amefukuzwa uanachama wa chama hicho.‎‎

Uamuzi huo umetangazwa usiku wa leo, Agosti 26, 2026, na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Asha – Rose Migiro alipokizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ndogo za chama hicho jijini Dar es Salaam.‎‎

Dk. Asha – Rose Migiro, amesema uamuzi huo umetokana na Dk Nchimbi kutoa kauli na kufanya vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili, kanuni na taratibu za CCM.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *